MSANII wa Bongo Movies, Tiko Hassan amedaiwa kuteswa na madhara ya mkorogo kiasi cha kumfanya shindwe kutoka ndani.
Vyanzo makini vimedai, staa huyo amekuwa na weusi usoni kutokana na
matumizi ya mkorogo. Alipoulizwa kuhusu ishu hiyo, Tiko alijibu: “Kweli
nimejifungia ndani sana siku hizi yawezekana ndiyo sababu ya kuwa na
weusi lakini si mkorogo.”
0 comments:
Post a Comment