Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na sweet wake Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.
“Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika
mapochopocho ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema
mwanamuziki Diamond.
0 comments:
Post a Comment