NDOA YA MAIMARTHA YANUSURIKA KUVUNJIKA:

NDOA ya mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse imenusurika kuvunjika baada ya kidudu mtu kutumia jina lake kwa kuwatukana watu, kusambaza umbea hadi kwa mumewe.
Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse.
Akielezea kwa undani sakata hilo, Maimartha alisema mtu huyo ameeneza umbea kuwa (Maimartha) ana uhusiano nje ya ndoa. “Nina wakati mgumu sana, huyu msichana anatumia jina langu mpaka kwenye mitandao anajibu watu vibaya, sijamjua lakini ole wake hawezi kuniharibia ndoa yangu hivihivi, sitakubali,” alisema Maimartha.

0 comments:

Post a Comment