HUYU NDIYE PRODUCER TAJIRI ZAIDI TANZANIA, ANAYEMILIKI MAGARI HAYA YA KIFAHARI:
Nadhani ulipata muda wa kuyaangalia magari ya kifahari wanayomiliki wasanii wa bongo , sasa ni zamu ya judge wa Tusker Project Fame na Producer hatari hapa bongo kutoka B’Hits namaanisha Hermes Baraka au Hermy B kukuonyesha magari ya kifahari anayomiliki. Hermy B anamiliki Toyota LandCruiser VX, Range Rover Sport, Nissan Murano and a BMW 3-Series.Duh! noma sana aisee
0 comments:
Post a Comment