Ndege ya kampuni ya Kenya Airways imetua pembeni ya njia kuu yaani runway na kushindwa kutua salama kama inavyotakiwa uwanja wa ndege wa JNIA.
Hata hivyo shukrani za pekee zimwendee rubani wa ndege hiyo ambae pamoja na kupata tyre bust aliweza kucontrol ndege mpaka uamuzi wa kuwaondoa abiria kwa kutumia mlango wa dharura ku-slide kwenda chini na hapo ukawa mwisho wa safari yao.
Tunamshukuru Mungu mjaza neema ndogo ndogo na kubwa nyepesi na nzito nyembamba kwa nene kwa kuruhusu wenzetu hawa kutoka wote kwa amani bila mikwaruzo.
Narudia tena shukrani pekee kwa rubani aliecheza nayo tairi ilipopata pancha huku akilazimisha ibaki njia kuu.
0 comments:
Post a Comment