PREZENTA wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri.
Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na paparazi wetu na
kuainisha kuwa tangu amwagane na Diamond (Nasibu Abdul) ambaye kila mtu
alikuwa anamjua, bado hajabahatika kuwa na mtu mwingine.
“Bado
nipo nipo sana na kama ujuavyo, mimi siwezi kuyaficha mapenzi kama
nimepata mpenzi wala haichukui muda kila mtu atajua tu,” alisema Penny.
0 comments:
Post a Comment