MLELA: UKIOA MSANII NI STRESS:


MWIGIZAJI asiye na makeke Bongo Movies, Yusuph Mlela ameweka bayana kuwa kuoa mwanamke ambaye ni msanii ni kujipa ‘stress’ zisizokuwa za msingi.
Mwigizaji asiye na makeke Bongo Movies, Yusuph Mlela
“Kuoa msanii ni tatizo, wasanii wengi wanapenda kuigiza maisha yao, wanachokiigiza katika filamu, wanakiingiza katika maisha ya kawaida, huwezi kudumu nao,” alisema Mlela alipozungumza na mwandishi wetu.

0 comments:

Post a Comment