AUNT: NIACHENI NIVAE NITAKAVYO:

MKALI wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa aachwe avae jinsi anavyojisikia hata kama yeye ni mke wa mtu.
Mkali  wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel pichani.
Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti chetu, Aunt alisema watu wengi wamekuwa wakimtaka avae kistaarabu kwa kuwa ni mke wa mtu.
“Waniache bwana, sijakataa kama mimi ni mke wa mtu lakini pia nipewe uhuru kwani najitambua,” alisema.

0 comments:

Post a Comment