MWIMBAJI MKUBWA WA NIGERIA AMSIFIA DIAMOND KUWA ANA NIZAMU KUBWA YA KAZI YAKE

Baada ya kutua Nigeria Diamond amedakwa na kufanya Collabo na Mwimbaji wa Kike Anayejulikana kwa Jina la WAJE Ambae inasemakana ndio Mwenye Mafanikio Makubwa nchini humo kimuziki kwa Waimbaji wa Kike.....Kama haitoshi Mwimbaji huyu baada ya kufanya kazi na Diamond Studio Moja Ametoa ya Moyoni na Kumsifu kuwa Diamond ni kijana mwenye nidhamu kubwa ya Kazi yake .....Hii ndio Message aliyo andika Waje
Met this amazing brother yesterday, humble nd such an inspiration,his work ethic is super. #africanlegendsmakingmusic @diamondplatnumz the talent eh. Thanks so much for this honour,” ameandika Waje kwenye Instagram.

0 comments:

Post a Comment