DIAMOND ASHIKA NUMBER 3 KATIKA WASANII 20 WA KORA AWARDS WEEK HII



Tuzo za KORA ambazo ndizo tuzo kubwa zaidi Afrika zimekuwa zikitoa orodha ya wasanii 20 bora zaidi wa Afrika waliopigiwa kura na mashabiki kupitia ukurasa wake wa Facebook, na wiki hii pia Diamond Platinumz ameonekana kwenye list hiyo.

Diamond amepigiwa kura nyingine na kupanda kutoka nafasi ya 14 wiki iliyopita hadi nafasi ya 3 wiki hii.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook mwimbaji huyo amewashukuru mashabiki wake:

From number 14 last week to number 3 this week..
thanks alot my fans, appreciate so much...i believe your
votes are what made me be there...please let's keep voting... i strongly believe together
we can..... if you are on facebook, please go
to#KoraAwards fan page like it then if you see my
face on any post comment by writing my name Diamond platnumz.... thank you!

0 comments:

Post a Comment