MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’
wakiwa katika pozi la kimahaba kitandani Naf beach hotel. Picha hizi
Wema amezitupia katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno
yafuatayo "Thank God
tumemaliza salama...Nd we are Happy it went
well...Alahamdulillah....Baadae inshallah...Tulale kwanza alafu yale
mapichapicha na kila kitu, leteeeeers.."
0 comments:
Post a Comment