Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpk
sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano
cjawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single, amekuwa
akinisaidia sana katka maendelea yangu mume wa mtu huyu ndie mshaur
wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne
nawaza siwez kufika naye mbali tayar yy ameshakuwa na familia yake na
Mimi nilazima nitakuwa na familia Yang tutaishi maisha haya mpk lini na
tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye
anapigana kutokuniacha mke wake mpk leo hajui kama mume wake ana
mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata
mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpk lini? Nipeni hata njia mbadala
matata ili niachane naye
0 comments:
Post a Comment