Msanii
mkongwe Mr Nice amepata ajali jana akiwa ndani ya bajaji akiwa na
abiria mwenzake ndani ya bajaji hiyo. Jinsi ajali hiyo ilivyotokea kuna
gari ‘liliwachomekea’ na dereva wa Bajaji hiyo akaamua kuikwepesha na
kugonga mti. Hali ya Mr Nice sio nzuri sana,kwani amevimba kichwa na
kuumia sana sehemu za usoni na abiria mwenzake ambaye hajafahamika jina
alifariki papo hapo na dereva wa bajaji hali yake sio nzuri. Chanzo cha
ajali hiyo huenda ikawa ni mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es
Salaam
0 comments:
Post a Comment